Toleo 008: NHIF Supa Cover

Toleo 008: NHIF Supa Cover

NHIF Supa Cover ndiyo bima kubwa zaidi ya matibabu nchini Kenya inayotoa huduma za bei nafuu na bora zaidi za afya ya jamii kwa wanachama wake katika sekta rasmi na ya kibinafsi. Twakuelezea mengi kwenye toleo hii ya nane.

Toleo 003: Biashara

Toleo 003: Biashara

Una ndoto. Bila shaka umekuwa na ndoto kwa muda mrefu, ndoto ya kuanzisha na kuendesha biashara yako mwenyewe. Kwenye toleo hii ya tatu, twakuelezea jinsi harakati ya kuanzisha biashara Kenya imerahisishwa.

001 Reli Ya Abiria

001 Reli Ya Abiria

Uboreshaji wa Huduma za Reli ya Usafiri ya Nairobi (NCRS) ni sehemu ya Mpango Mkuu wa Usafiri wa jiji la Nairobi wenye madhumuni ya kusuluhisha matatizo chuki zi ya usafiri jijini kwa kuunganisha jiji kuu na miji mingine 10.

002 COVID-19 Chanjo

002 COVID-19 Chanjo

Mpango wa chanjo ya Covid-19 umeibua maswali yasiyokuwa na majibu, uvumi na habari potoshi – potoshi zaidi kiasi cha kuweza kudhuru mtu. Hata ingawa baadhi ya habari hizi zinatokana hasa na ukosefu wa ufahamu, nyingine zimeibuliwa kimakusudi.