Toleo ya Teknolojia ya ISSB
Watu wengi wanataka kumiliki nyumba. Iwe ni nyumba ya kale yenye kujengwa kwa udongo na nyasi au yenye muundo changamano uliofumwa kwa mbao, ufundi na ujuzi wa kisasa. ISSB ni teknolojia inayoweza kuokoa
nusu ya gharama za ujenzi.