002 COVID-19 Chanjo

002 COVID-19 Chanjo

Mpango wa chanjo ya Covid-19 umeibua maswali yasiyokuwa na majibu, uvumi na habari potoshi – potoshi zaidi kiasi cha kuweza kudhuru mtu. Hata ingawa baadhi ya habari hizi zinatokana hasa na ukosefu wa ufahamu, nyingine zimeibuliwa kimakusudi.

Share this post

Leave a comment

Your email address will not be published.